PATA KUWAFAHAMU WATU KUMI MATAJIRI DUNIA NZIMA
1.JEFF BEZOS
Huyu ndiye tajiri wa kwanza duniani mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 124.1$. Tajiri huyu wa kwanza duniani ni mmiliki wa Washington post newspaper ambacho ni kiwanda cha magazeti alichokinunua kwa dola 250$ million pia Jeff bezos ni mmiliki wa amazon mtandao Mkubwa wa kibiashara
2.BILL GATES
Huyu ni tajiri wa pili duniani ni mmiliki na mgunduzi wa Microsoft ambaye ana utajiri wa dola za kimarekani billion 108.8$ bill gates pia ni muwekezaji na pia n mfanya biashara Washington marekani
3.BERNALD ARNAULT
Huyu ni tajiri wa 3 duniani mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 105.2$. Tajiri huyu ni mmiliki wa kampuni kubwa sana la bidhaa za kifahari linalojulikana lama Loius viuton
4.WARREN BUFFET
Tajiri huyu ana kipato cha dolla za kimarekani 89.4$ ni tajiri wa nne duniani ambaye ni mwekezaji na mfanya biashara warren buffet ni mmiliki wa kampuni liitwalo Berkshire Hathaway
5.MARCK ZUCKBERG
Tajiri wa 5 duniani mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 80.7$ tajiri huyu n mmiliki na mgunduzi wa Facebook akanunua Instagram kwa sasa mark zuckberg ni mmiliki wa Facebook na Instagram
6.OMANCIO ORTEGA
Huyu ni tajiri wa sita ulimwenguni mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 68.3$ tajiri huyu ni tajiri wa kwanza spaniola pia ni mmiliki wa Zara trading and accessories shops n mmiliki wa Brandi kubwa sana ya Zara
7.CARLOS SLIM
Huyu ni tajiri wa saba ulimwenguni mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 67.4$ bwana huyu ni mwekezaji na pia ni engineer ni tajiri kutoka mexico
8.LARRY PAGE
Huyu ni moja ya mgunduzi wa google ambaye ana utajiri wa dola za kimarekani billion 66.3$ pia alikua CEO wa alphabet inc mpaka alipastahafu apo 3 DEC 2019
9.LARRY ELLISON
Huyu ni tajiri wa saba ulimwenguni mwenye utajiri wa dola za kimarekani billion 65.7$ bwana huyu ni mfanya biashara wa marekani na pia ni secretary na mgunduzi wa office of Oracle
10.SERGEY BRIN
Huyu ni moja ya mgunduzi wa google akishirikiana na Larry page bwana huyu anao utajiri wa dola za kimarekani billion 64.1$ pia sergey brin alikua raisi wa alphabet inc mpaka alopostahafu apo 3 DEC 2019
Na hiyo ndo list ya watu kumi matajiri sana …. . reference ikiwa ni google
Remember NEVER GIVE UP



